Vigezo vya kuzingatia unapoomba au unapokubali urafiki mitandaoni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.04.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Vigezo vya kuzingatia unapoomba au unapokubali urafiki mitandaoni

Je ni mambo gani unazingatia kabla ya kumtumia mtu ombi la urafiki, kukubali ombi la urafiki au kukataa ombi la urafiki kwenye mitandao ya kijamii? Haya ni maoni ya baadhi ya vijana kutoka Dar es Salaam.

Tazama vidio 03:11