Vigezo vya kuingia Chuo Kikuu kubadilishwa Tanzania? | Masuala ya Jamii | DW | 28.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Elimu Tanzania

Vigezo vya kuingia Chuo Kikuu kubadilishwa Tanzania?

Umezuka utata nchini Tanzania baada ya Wizara ya Elimu kusema watu watakaoweza kujiunga na Chuo Kikuu ni wale tu waliofaulu Kidato cha Sita. Naibu Waziri wa Elimu anafafanua hilo katika Kinagaubaga.

Sikiliza sauti 09:53

Mahojiano na Naibu Waziri wa Elimu Tanzania, Stella Manyanya

             

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com