VIENNA: Chama cha Austria chapata kiongozi mpya | Habari za Ulimwengu | DW | 22.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

VIENNA: Chama cha Austria chapata kiongozi mpya

Chama cha kihafidhina cha People’s Party nchini Austria kimemchagua bwana Wilhelm Molterer kuwa kiongozi wa chama hicho. Bwana Molterer anachukua nafasi ya Wolfgang Schuessel aliekuwa mwenyekiti wa chama hicho ambae pia aliwahi kuwa kansela wa Austria.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com