VfB Stuttgart wapigania kusalia Ligi Kuu | Michezo | DW | 20.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Michezo

VfB Stuttgart wapigania kusalia Ligi Kuu

VfB Stuttgrat watachuana na Union Berlin kwenye mechi ya mtoano itakayoamua iwapo watasalia kwenye Bundesliga au watashushwa daraja.

Timu hizo mbili zitacheza siku ya Alhamis na mechi ya mkumbo wa pili ipigwe Mei 27.

Wakati huo huo Paderborn imekuwa timu ya pili kupandishwa daraja na kushiriki Bundesliga msimu ujao baada ya FC Cologne. Mara ya mwisho kushiriki Ligi Kuu ya Ujerumani ni mwaka 2014.