Uzinduzi wa Kampeni za chama cha CUF | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Uzinduzi wa Kampeni za chama cha CUF

Chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania kimezindua kampeni za mgombea urais kitaifa mkoani Mtwara huku kikijinasibu kufufua mpango wa ukanda wa maendeleo wa kusini. Vidio na Salma Mkalibala.

Tazama vidio 02:26