Uwezeshaji wananchi kupitia dansi Afrika Kusini | Afrika yasonga mbele | DW | 14.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Afrika yasonga mbele

Uwezeshaji wananchi kupitia dansi Afrika Kusini

Baada ya miaka sita ya mafanikio nchini Uingereza, mtaalamu huyu wa dansi, mkufunzi wa dansi na mjasiliamali alirejea nchini mwake Afrika Kusini. Yeye na mkewe walirudi na dhamira moja ya kutoa fursa kwa vijana wenye vipaji vya kudansi.

Tazama vidio 03:16
Sasa moja kwa moja
dakika (0)