Uwekezaji gesi asilia Msumbiji kuwaathiri wananchi | Media Center | DW | 20.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Uwekezaji gesi asilia Msumbiji kuwaathiri wananchi

Maisha ya wakazi wa wilaya ya Palma, Kaskazini mwa Msumbiji yapo hatarini kufuatia mradi mkubwa wa ujenzi wa mitambo ya gesi asilia unaotarajiwa kuanza mwaka 2018. Wananchi wanahisi kutelekezwa na serikali. Je ni kwa namna gani serikali yako inakushirikisha katika miradi mikubwa?

Tazama vidio 03:06