Uvurugaji wa mazingira asilia na athari zake | Uchumi na mazingira | DW | 29.11.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchumi na mazingira

Uvurugaji wa mazingira asilia na athari zake

Iwe ni kuwezesha ujenzi, kilimo au shughuli yoyote ile, uvurugaji wa hali asilia ya mazingira husababisha madhara mengi. John Juma anaelezea zaidi kwenye makala ya Mtu na Mazingira

Sikiliza sauti 09:44