Uvunaji wa maji kutoka kwenye majani ya migomba Goma | Media Center | DW | 09.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Uvunaji wa maji kutoka kwenye majani ya migomba Goma

Kutokana na uhaba wa maji katika kijiji cha mutaho mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya CONGO wakaazi wanalazimika kutumia maji ya migomba katika mahitaji yao ya nyumbani. Katika kipindi cha Makala Yetu Leo, mwandishi wa DW mjini Goma, Benjamin Kasembe anasimulia tabu wanazopitia wakaazi wa kijiji hicho kupata maji ya matumizi yao ya kawaida.

Sikiliza sauti 09:47