Utumikishwaji wa watoto katika biashara bado tatizo DRC | Masuala ya Jamii | DW | 16.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Utumikishwaji wa watoto katika biashara bado tatizo DRC

Kila mwaka ulimwengu unaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kiafrika 16 Juni. DW inaangazia hali ya watoto wanaolazimika kufanya biashara ndogo ndogo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati shule zikiwa zimefungwa kufuatia janga la korona.

Sikiliza sauti 02:34