Utulivu warejea Gaza | Media Center | DW | 30.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Utulivu warejea Gaza

Hali ya utulivu imerejea katika ukanda wa Gaza siku ya Jumatano, chini ya usitishaji mapigano ulioratibiwa na Misri, kufuatia uhasama mkubwa zaidi kati ya Israel na wapiganaji wa Kipalestina tangu vita vya mwaka 2014.

Tazama vidio 01:04
Sasa moja kwa moja
dakika (0)