Utekwaji Ghana | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 27.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Utekwaji Ghana

Kijana Enoch Yeboah mwenye uraia wa Ghana aliuzwa kama mtumwa nchini Libya. Ni mmoja wa mamilioni ambao wanayahatarisha maisha yao kufunga safari hatari kuelekea Ulaya. lakini kwanini vijana wa Kiafrika wanayahatarisha maisha yao kuelekea Ulaya?

Tazama vidio 02:12
Sasa moja kwa moja
dakika (0)