1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utekelezaji wa makubaliano ya Malabo

Lilian Mtono
6 Februari 2020

Kwenye makala yetu leo msikilizaji utasikia kuhusu Azimio la Malabo la mwaka 2014 ambalo linazihimiza nchi za Afrika kutenga asilimia 10 ya bajeti zake kwa ajili ya kilimo. Sikiliza hapa kujua kipi kimekwishatekelezwa hadi sasa na kipi ambacho bado na kwa sababu zipi?

https://p.dw.com/p/3XLoj