1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utawala wa kijeshi wa Mauritania una haha kutaka kutambuliwa na Umoja wa Afrika

7 Oktoba 2008

Utawala wa kijeshi nchini Mauritania umeanza ujanja wa kujitetea katika umoja wa Afrika, AU, baada ya muda uliowekwa na umoja huo kuurejesha utawala wa kikatiba nchini humo kupita hapo jana.

https://p.dw.com/p/FVlc
Askari wa usalama wakipiga doria katika mji mkuu wa Mauritania, Nouakchot baada ya mapinduzi mwezi AgostiPicha: picture-alliance/ dpa

Hayo ni maoni ya wanadiplomasia wa mataifa ya Afrika walioko mjini Addis Ababa ambapo ujumbe wa utawala wa kijeshi nchini humo umefika kukutana na mwenyekiti wa tume ya AU, Jean Ping.

Zaidi ni kutoka kwa mwandishi wetu wa Addis Ababa, Anaclet Rwegayura.