1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata wa 'mlipuko' na 'mripuko', kiburi na jeuri

28 Machi 2014

Je, unadhani kuna tafauti baina ya neno 'lipuka' na 'ripuka'? Na hasa lipi ambalo ni sahihi kati ya mawili hayo? Sehemu hii ya Kiswahili Kina Wenyewe inachambua maneno kadhaa yenye utata kwenye lugha ya Kiswahili.

https://p.dw.com/p/1BXrB
Iwalewa House, sehemu ya Chuo Kikuu cha Bayreuth ambapo Kongamano la Kiswahili hufanyika.
Iwalewa House, sehemu ya Chuo Kikuu cha Bayreuth ambapo Kongamano la Kiswahili hufanyika.Picha: DW/M. Khelef

Wataalamu wa lugha ya Kiswahili kutoka vyuo vikuu vya Afrika ya Mashariki na Ulaya wanajadili baadhi ya maneno, uundikaji na maana zake.

Tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini