Utamu wa baharini | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Utamu wa baharini

Tamasha la vyakula vya baharini lilifanyika Zanzibar na kuwavutia wageni wengi waliofika kupata ladha kamili ya visiwa hivyo lengo likiwa ni kukuza utalii sio tu wa Zanzibar bali kanda nzima