Utalii wa majira ya kiangazi nchini Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 06.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Utalii wa majira ya kiangazi nchini Ujerumani

Bahari ya Baltic, iliyopo katika mji wa bandari wa Kiel, kaskazini mwa Ujerumani, ni kati ya maeneo maarufu yanayotembelewa wakati wa likizo ya majira ya kiangazi. Michezo ya kutumia mashua na mingine mingi huwavutia maelfu ya watalii na kizungumkuti cha corona mwaka 2020 ndiyo huenda kitawapeleka wajerumani wengi eneo hilo badala ya kusafiri nje ya nchi.

Tazama vidio 01:22