UTAH:hakuna matumaini ya uhai kwa wachimba migodi sita; | Habari za Ulimwengu | DW | 20.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

UTAH:hakuna matumaini ya uhai kwa wachimba migodi sita;

Habari kutoka jimbo la Utah Marekani zinasema hakuna matumaini ya kuokoa maisha ya wafanyakazi sita wa mgodi walionaswa zaidi ya mita 457 chini ya mgodi .

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com