Utafiti: Asilimia 79 ya wapigakura Tanzania watamchagua Magufuli | Matukio ya Afrika | DW | 30.09.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Utafiti: Asilimia 79 ya wapigakura Tanzania watamchagua Magufuli

Matokeo ya utafiti wa taasisi binafsi ya Trends Dynamiques Consulting Tanzania, yanaonesha kuwa asilimia 79 ya wapigakura watamchagua mgombea wa chama tawala CCM John Magufuli. Na asilimia 19 wakimchagua mgombea wa chama kikuu cha upinzani Chadema,Tundu Lisu.

Sikiliza sauti 02:43