1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SanaaAfrika

Ushiriki wa wanawake katika filamu za kupigana

Sylvia Mwehozi
5 Julai 2022

Agnes Kifaluka ni mwanamke wa kitanzania ambaye ni msanii wa filamu za kupigana. Ni nadra sana kwa wanawake kushiriki katika filamu za aina hizo. Lakini yeye ana ndoto kubwa za kufikia viwango vya kimataifa. #vijanamubashara

https://p.dw.com/p/4DhEh