Usanifu wa kuvutia nchini Ujerumani | Mada zote | DW | 28.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Usanifu wa kuvutia nchini Ujerumani

Kila mwaka tuzo ya usanifu bora huwatambua wasanifu majengo waliopo ujerumani. Mwaka huu, hata hivyo, tuzo ya juu haikwenda tu katika jengo la kuvutia, lakini pia kwa jengo lililo na uhimilivu.