Usalama waingia dosari visiwani Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Usalama waingia dosari visiwani Zanzibar

Ikiwa kura zinaendelea kuhesabiwa visiwani Zanzibar, Mohammed Khelef alizungumza na kamishna wa polisi Zanzibar Mkadam Mkadam kufuatia ripoti kwamba watu watatu wamepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya hapo jana.

Sikiliza sauti 02:42

Sikiliza mahojiano na kamishna wa polisi Zanzibar, Mkadam Mkadam.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com