1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usalama wa chakula wajadiliwa Roma

27 Juni 2011

Umuhimu wa Usalama wa chakula duniani, hasa katika nchi zinazoendelea, ni miongoni mwa mambo yatakayopewa nafasi kubwa katika mkutano wa leo (27.06.2011) wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Roma, Italia.

https://p.dw.com/p/11k9y
Mkulima akimwagilia mazao yake
Mkulima akimwagilia mazao yakePicha: FAO

Sudi Mnette anazungumza na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika wa Tanzania, Profesa Jumanne Maghembe, ambaye anahudhuria mkutano huo.

Mahojiano: Sudi Mnette/Jumanne Maghembe
Mhariri: Othman Miraji