1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Usalama katika mpaka baina ya Kongo na Rwanda

8 Oktoba 2012

Marais wa nchi wanachama wa kanda ya maziwa makuu wanakutana Kampala,Uganda kujadili swala la kutumwa nchini Kongo kikosi huru cha kimataifa kulinda usalama katika mpaka baina nchi hiyo na Rwanda.

https://p.dw.com/p/16MDH
Usalama wahitajika kati ya mpaka wa Kongo na Rwanda
Usalama wahitajika kati ya mpaka wa Kongo na Rwanda

Rraia wa nchi ya Congo wanalalamikia kuingia humo kwa wanajeshi wa Burundi,kutafuta taarifa kuhusu kuwepo kwa waasi wa FNL katika bonde la Ruzizi.
Raia wanahofia kuwa kuingia huko huenda kukasababisha hali ya kutoelewana baina ya nchi hizo Mbili.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi