Urusi na Uturuki zaikosoa Marekani kuhusu Jerusalem | Media Center | DW | 12.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Urusi na Uturuki zaikosoa Marekani kuhusu Jerusalem

Kenya yaadhimisha miaka 54 ya uhuru kutoka Uingereza, Urusi na Uturuki zaiokosoa Marekani kwa msimamo wake kuelekea mji wa Jerusalem na wanawake waandamana jijini New York kupinga udhalilishaji kingono unaoshutumiwa kufanywa na rais huyo wa Marekani. Papo kwa Papo 12.12.2017.

Tazama vidio 02:09