1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Kivu, DRC waikosoa ICC

Saleh Mwanamilongo4 Mei 2018

Wabunge wa upinzani kutoka jimbo la Kivu, DRC, wameikosoa mahakama ya ICC kwa kutofanya vyema katika kuendesha uchunguzi wake kuhusu mauwaji yanayoendelea maeneo ya mashariki mwa Kongo, walipozungumza na Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Fatou Bensouda.

https://p.dw.com/p/2xBr3