Upinzani Tanzania wamkosoa Rais Magufuli | Media Center | DW | 31.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upinzani Tanzania wamkosoa Rais Magufuli

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro adai kupata ushindi katika kura ya Kuchagua bunge iliyofanyika Jumapili. Upinzani Tanzania wakosoa sera za kiuchumi za Rais John Magufuli na Afisa mmoja wa tume ya uchaguzi Kenya aliyekuwa amepotea akutwa amefariki. Papo kwa Papo 31.07.2017.

Tazama vidio 01:37