Upinzani Tanzania waja na mbinu mpya kumkabili Magufuli | Media Center | DW | 18.12.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upinzani Tanzania waja na mbinu mpya kumkabili Magufuli

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekutana visiwani Zanzibar na kutoa tamko zito la ushirikiano kulinda demokrasia na haki za binaadamu na pia kuutangaza mwaka 2019 kuwa mwaka wa kudai haki.