1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani nchini Tanzania kuipinga Sheria ya Vyama vya Siasa Mahakamani

15 Aprili 2019

Vyama vya upinzani 8 vinavyoshirikiana kisiasa nchini Tanzania vimefungua shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki kupinga sheria ya marekebisho ya vyama vya siasa kwa madai kuwa inaminya vyama vya siasa, kukiuka katiba ya nchi pamoja na Kukinzana na mikataba ya kimataifa ambayo nchi hiyo imeridhia.

https://p.dw.com/p/3GoOI