Upinzani Kenya waendelea na maandamano | Media Center | DW | 13.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upinzani Kenya waendelea na maandamano

Rais Donald Trump anatarajiwa kutangaza kujitoa katika makubaliano ya kimataifa ya mpango wa nyuklia. Israel nayo imejiondoa shirika la UNESCO. Wafuasi wa upinzani Kenya waendeleza maandamano licha ya kupigwa marufuku. Papo kwa Papo 13.10.2017.

Tazama vidio 01:34
Sasa moja kwa moja
dakika (0)