Upatikanaji wa intaneti: mitandao ya kijamii, serikali na makampuni ya teknolojia | Mada zote | DW | 29.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Upatikanaji wa intaneti: mitandao ya kijamii, serikali na makampuni ya teknolojia

Huku Ujerumani ikijadili sheria ya mitandao ya kijamii ili kukabiliana na hotuba za chuki za mitandaoni, makampuni ya mitandao yameeleza hisia zao kuhusu namna itakavyowaathiri. Ni kwa kiasi gani? DW inaangazia.