Uongozi wa Barack Obama kwa mtazamo wa picha | Mada zote | DW | 11.01.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Uongozi wa Barack Obama kwa mtazamo wa picha

Huku uongozi wa Barack Obama ukifikia kikomo, DW inaangazia wakati wake katika ikulu. Kutoka mabadiliko ya huduma za afya hadi katika ikulu inayopendeza, ufuatao ni mkusanyiko wa nyakati muhimu.