1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Union Berlin waangukia pua katika Bundesliga

Josephat Charo
3 Oktoba 2022

Eintracht Frankfurt yaizuia Union Berlin katika Bundesliga. Mario Götze ang'ara, Union wapoteza mechi ya kwanza ya msimu wa sitini wa Bundesliga. Borussia Dortmund walambishwa mchanga ugenini Cologne. Bochum wako hoi mkiani. Ligi kuu Tanzania bara yaendelea kutifua vumbi, Wekundu wa Msimbazi Simba waparamia kileleni.

https://p.dw.com/p/4Hh7F