1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UNESCO: Tarehe 7 ni siku ya Kiswahili duniani

24 Novemba 2021

Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha tarehe saba Julai kila mwaka kuwa siku ya kuadhimisha lugha ya Kiswahili kote duniani. Hatua hiyo inaifanya lugha ya Kiswahili kuwa lugha pekee kutoka bara la Afrika kupewa siku yake maalum ya utambulisho na kuadhimishwa. Msikilize John Juma akizungumza na Dkt. Aldin Mutembei.

https://p.dw.com/p/43P39