1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unaweza kufanya kazi gani bila kujali elimu uliyonayo ?

Amina Mjahid
19 Oktoba 2020

Wengi huamini ukiwa na elimu ya chuo kikuu utapata kazi yenye mshahara mzuri na maisha yatanyooka. Lakini uhalisia siyo huo mara zote, ndiyo maana kijana Arthur wa Uganda licha ya elimu aliyonayo amechagua kufanya kazi ambayo wengi waliosoma huenda wakaiona ya kujidhalilisha. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3k8tt