1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unatumia juhudi zipi kuhakikisha kipaji chako kinatambulika?

VERONICA NATALIS/M M T21 Septemba 2018

Ni vipi unawasaidia vijana kutambua vipaji vyao? Au kama wewe ni kijana unatumia njia zipi kuhakikisha kipaji chako kinaimarika na kukusaidia? Mkoani Shinyanga vijana ambao ni wasanii wameandaa tamasha kwa jina FANAHA. Je ni vipi tamasha hili linawasaidia katika ukuzaji wa vipaji vyao? Kulijibu hilo, Veronica Natalis anawashirikisha kwenye kipindi Vijana Tugutuke

https://p.dw.com/p/35HuR
Tansania FANAHA Festival in Shinyanga
Picha: DW/V. Natalis
Tansania FANAHA Festival in Shinyanga
Picha: DW/V. Natalis