1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unapambana vipi na kukata tamaa?

Grace Kabogo
2 Juni 2020

Kama binadamu huwa inafikia hatua ya kuona kwamba maisha ndiyo basi tena hayasongi mbele, hali inayomfanya akate tamaa. Je mtu anaweza kukabiliana vipi na hali ya kukata tamaa na ni njia zipi tofauti zinazotumiwa na watu kukabiliana na hali hiyo?

https://p.dw.com/p/3d8k3