Unaona nini, yavuyavu ama mfuko wa plastiki? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Unaona nini, yavuyavu ama mfuko wa plastiki?

Mifuko ya plastiki inaharibu mazingira ya baharini. Viumbe hai vinashindwa kutafautisha kati ya yavuyavu na mifuko ya plastiki. Je wewe unaweza kuiona tofauti kati ya vitu hiyo viwili haraka haraka?

Tazama vidio 00:08