1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unalielewa vipi neno amani?

Sudi Mnette
21 Septemba 2023

Siku ya Amani Duniani inaadhimishwa kila tarehe 21 mwezi Septemba. Kauli Mbiu kwa siku hii ya kimataifa ni "Amani kwa vitendo dhima yetu kwa matarajio ya ulimwengu." Katika kuadhimisha siku hii, nchi za maziwa makuu zinakutana mjini Dar es Salaam kuzungumzia amani ya mataifa yao. Zaidi Sudi Mnette amezungumza na mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania, Ana Henga.

https://p.dw.com/p/4Wemj