UN yataka hatua za haraka kukabili njaa Somalia | Media Center | DW | 08.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

UN yataka hatua za haraka kukabili njaa Somalia

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ataka kuchukuliwa hatua za haraka kukabiliana na njaa katika nchi za Pembe ya Afrika, Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki, Mevlut Cavusoglu aikemea Ujerumani, China yatoa mwito kwa Korea Kaskazini kuacha shughuli zake za makombora na Bayern Munich yaitoa Arsenal ligi ya mabingwa Ulaya.

Tazama vidio 01:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)