1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

UN: Hakuna usawa wa kijinsia Afrika

3 Mei 2017

Shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP limeeleza kufadhaishwa na ukosefu wa usawa wa kijinsia na pia jinsi raia wengi Afrika, hasa wanawake na wakazi wa vijijini walivyoachwa nyuma kimaendeleo.

https://p.dw.com/p/2cFIb
Wanawake Nigeria
Picha: DW/A. Kriesch

KENYA Ripoti ya UNDP - MP3-Stereo