1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa mikopo kwa vijana Tanzania

Hawa Bihoga1 Julai 2020

Kipindi cha vijana tugutuke kimewatembelea vijana wa kiwanda kidogo cha ushoni mkoa wa Tanga, kujadili utekelezaji wa mkopo wa 4% kwa vijana katika kila halmashauri nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/3ecI0