Umuhimu wa kunyonyesha watoto | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Umuhimu wa kunyonyesha watoto

Wiki ya unyonyeshaji watoto inaendelea na kama kawaida wito unaotolewa ni kuhakikisha mtoto mchanga ananyonya kwa muda wa miezi sita bila kupewa kitu kingine chochote hata maji. Na kwa kipindi kingine cha miaka miwili kwa kuchanganya na vyakula vingine. Je unahakikisha mtoto wako ananyonya vizuri?

Tazama vidio 02:41