1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa elimu ya msingi.

Lubega Emmanuel / MMT26 Juni 2019

Baadhi wa wakaazi wa bara la Afrika wanakosoa mfumo wa elimu wa bara hilo wakisema hauwafaidishi wanafunzi wake. Hivi karibuni, Benki ya dunia ilitoa pendekezo kwa serikali ya Uganda kutupilia mbali mtihani wa kitaifa wa shule za msingi, na ndio maana katika makala hii Lubega Emmanuel anaangazia umuhimu wa elimu hiyo ya msingi. 

https://p.dw.com/p/3L85d