Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano Syria | Media Center | DW | 26.02.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Umoja wa Mataifa wataka kusitishwa mapigano Syria

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametaka utekelezwaji wa haraka wa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu kusimamishwa mapigano kwa siku 30 nchini Syria, lililofikiwa Jumamosi iliyopita.

Tazama vidio 01:26
Sasa moja kwa moja
dakika (0)