1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Mataifa wapitisha kuwa maji ni haki ya binadamu

Josephat Nyiro Charo29 Julai 2010

Huku watu wengi barani Afrika wakiwa bado hawana maji safi ya kunywa na wengine wakitegemea maji ya mtoni na katika maziwa kwa matumuzi yao ya kila siku, je azimio hili litaleta tija?

https://p.dw.com/p/OXfw

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa uwezo wa kupata maji safi na salama ni haki ya kibinaadamu. Azimio hilo lilipitishwa na kuungwa mkono na mataifa 122 ingawa mengine yalikataa kuridhia. Hivi punde nimezungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania, Profesa Mark Mwandosya na kwanza nilitaka kujua maoni yake kuhusu azimio hilo la Umoja wa Mataifa.

Insert: Interview

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Mark Mwandosya

Mhariri:Josephat Charo