1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umoja wa Afrika kuchangisha fedha kusaidia eneo la pembe ya Afrika

26 Agosti 2011

Mataifa ya Umoja wa Afrika jana yalikutana katika juhudi za kuchangisha fedha kuisaidia eneo la pembe ya Afrika linalokabiliwa na ukame, huku kukiwa na mahudhurio yasio ridhisha.

https://p.dw.com/p/12O74
Wanawake na watoto nchini Somalia wakisubiri kupata chakulaPicha: dapd

Halima Nyanza alizungumza na Katibu mkuu wa shirika la msalaba mwekundu, nchini kenya Abbas Gullet kuhusiana na fedha zilizopatikana katika mkutano huo wa kuchangisha fedha.

Mwandishi: Halima Nyanza

Mhariri: Josephat Charo