1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umeme waingizwa kwenye siasa za uchaguzi Tanzania

Daniel Gakuba/Mohammed Abdulrahman7 Oktoba 2015

Wagombea wakuu wawili wa urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 25 nchini Tanzania, John Magufuli wa CCM, na Edward Lowassa wa kutoka muungano wa UKAWA wamelilaumu Shirika la Umeme nchini humo - TANESCO, kutokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara katika kampeni zao. Lakini je, kukatwa huko kwa umeme kunafanyika kwa sababu za kisiasa? Mchambuzi Gabriel Mwang'onda anatoa tathmini yake.

https://p.dw.com/p/1Gjp7