Umaarufu wa Jürgen Klopp akiwa na Dortmund | Mada zote | DW | 18.04.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Umaarufu wa Jürgen Klopp akiwa na Dortmund

Limefanyika, mashabaki wa Bundesliga. Kocha mkuu wa Borussia Dortmund Jürgen Klopp ataihama klabu hiyo mwishoni mwa msimu. Imekuwa miaka saba ya furaha kwa mashabiki wa BVB