Ukuzaji wa Filamu na Sanaa Uganda | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 24.06.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ukuzaji wa Filamu na Sanaa Uganda

Sekta ya filamu ni moja kati ya zinazoweza kuwaajiri vijana wengi ikitumiwa vizuri. Aidha hukuza vipaji vya waigizaji, huhifadhi utamaduni na kuweza kutumiwa kunadi tamaduni, vivutio vya watalii miongoni mwa mengine. Lakini je, ni juhudi zipi zinafanywa Uganda kukuza sekta hiyo? Lubega Emmanuel anasimulia. #Kurunzi

Tazama vidio 02:54